KUJISAJILI HELABET TANZANIA

 


FAIDA ZA KUBETI NA HELABET 

Helabet  Tanzania Ni kampuni maarufu kwa Sasa katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu Tanzania. Helabet imesajiliwa na bodi ya michezo ya bahati na sibu na inaendesha shughuli zake kwa mujibu wa sheria na taratibu. Helabet imezidi kupendwa kwa siku Hadi siku na wachezaji wengi wa michezo ya kasino na betting mtandaoni kutokana na sababu mbalimbali za kuvutia wateja na kuwapa huduma Bora. Helabet pia inatoa huduma hii katika nchi nyingine mbalimbali duniani, kwa kuzitaja kwa uchache Ni Kenya, Nigeria na india. Katika makala hii titajadili faida mbalimbali za kubeti na helabeti

  • JINSI YA KUFUNGUA ACCOUNT YA HELABET TANZANIA.

Kufungua Account ya Helabet Tanzania fuata Hatua hizi

a) Gusa >HAPA> itafunguka 

b) Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0 mfano 766605392

c) Bofya send sms(tuma ujumbe) utapokea code maalumu Confirm/dhibitisha kwa kujaza code hizo

d) Jaza promo code ya Bonasi ya Helabet ambayo ni A84

e) Bofya jisajili (regist ) kukamilisha usajili

f) Deposit na uanze kufurahia 

Angalia Picha jinsi ya kujisajili Helabet Tanzania 

Angalia Picha jinsi ya kujisajili Helabet Tanzania


  • FAIDA ZA KUBETI NA HELABET

Bonasi ya Ukaribisho ya asilimia 100

Kila mteja mpya wa Helabet atakayejiunga kuanzia Leo na kuendelea na akadeposit pesa kwenye account yake atapokea kiasi Cha Bonasi sawa na kiasi alichoweka Hadi TSH 300,000 bure!  Kwamfano Kama umejisajili Helabet na kuweka salio kwenye account yako kwa Mara ya kwanza utapokea Bonasi Hapo Hapo ukiweka 2000 utapata 4000, ukiweka 4000 utapata 8000 ukiweka 8000 utapata 16000 na kuendelea Chukua Bonasi yako Helabet kwa kubofya www.helabet.co.tz (promo code ya Helabet Jaza A84


BONASI YA KILA SIKU YA ASILIMIA 25%

Kwa kila deposit utakayoweka kwenye account yako ya Helabet utapokea Bonasi asilimia 25 % ya kiasi ulichoweka kwa siku hiiitakusaidia kutunisha account yako ya Helabet na kukusaidia kutafuta ushindi mkubwa 


BONASI YA KURUDISHIWA PESA YAKO KWA KILE ULICHOOTEZA

Helabet inakupa Bonasi ya rebet ambapo utarudishiwa kiasi Fulani Cha pesa yako uliyopoteza kwenye mikeka. Hii itakusaidia kurudi ulingoni na kuokoa pesa yako iliyopotea cash back ya Helabet utapewa Hadi 1000$ kulingana na kiasi ulichopoteza kwa 0.3%  Vile vile Kama umepoteza mikeka 20 mfululizo unaweza kuomba Bonasi kutoka Helabet. Cha kuzingatia Ni Muhimu kusoma sheria na masharti ya namna ya kutumia Bonasi zako unazopewa kutoka Helabet .


HUDUMA NZURI KWA WATEJA 24/7

Kampuni ya kubeti ya Helabet Tanzania inaongoza kwa kutoa huduma nzuri kwa wateja wake pale wanapokutana na changamoto Fulani wakati wakuitumia Helabet Tanzania. Unaweza kuwasiliana na Helabet Tanzania wakati wowote kupitia barua pepe ya Helabet au kupitia kuchat live kwenye tovuti ya Helabet angalia Picha hapa chini

Mawasiliano ya Helabet katika picha

Jinsi ya kuwasiliana na Helabet tz



MICHEZO MINGI YA KASINO KUTOKA HELABET 

Hii Ni faida nyingine ya kubeti na Helabet Tanzania ambapo Kuna michezo mingi ya kasino za mtandaoni  ambazo zinaweza kukupa ushindi mkubwa na utajiri baadhi ya kasino hizo Ni, Money wheel, Lucky Wheel, Crash Game , Dice, na michezo mingine mingi . Baadhi ya michezo inayopatikana Helabet casino


URAHISI WA KUWEKA  NA KUTOA PESA HELABET 

Helabet Tanzania ni kampuni inayolipa kwa haraka bila ubabaishaji wa fedha yako pale unaposhinda kiasi chochote kwenye mkeka wako , njia za kutao na kuweka pesa Helabet zipo nyingi ikiwemo njia za kawaida za simu Kama vile, Tigo pesa, Airtel money, ezypesa, Vodafone, na kadhalika. Pia njia za sarafu ya digitali Kama vile bitcoins, nakadhalika



Pamoja na hayo Helabet inaongoza kuwa na options/machaguo mengi ya kubashiri kuliko kampuni nyingine yeyote ya kubeti Tanzania, vilevile Helabet ipo michezo mingi na ligi mbalimbali duniani, michezo ya kitaifa na kimataifa, michezo ya ngumi, ghofu na michezo mingine mbalimbali. Aidha Helabet inaongoza kwa kuwa na odds kubwa zitakazoweza kukupa ushindi mkubwa  Jiunge na Helabet kwa kutembelea tovuti ya Helabet au Gusa HAPA www.helabet.co.tz

Post a Comment

Previous Post Next Post