Kujisajili Premier bet| Premier bet Promo code |www.premierbet.co.tz | promo code ya premier bet

 

Kujisajili Premier bet| Premier bet  Promo code |www.premierbet.co.tz | promo code ya premier bet: Ofa


Premier bet ni miongoni mwa kampuni bora zaidi za kubeti nchini Tanzania. Katika makala hii tutaangazia jinsI ya kujisajili na premierbet  na promo code ya premierbet Tanzania .

Premierbet promo code ni neno, Ofa sehemu palipoandikwa Promo code  jaza neno, Ofa , promo code hii ni kwaajili ya kupokea bonasu ya hadi 150% utakapodeposit kwa mara ya kwanza katika account  yako.

Table of contents

-Historia ya premierbet

- Promo code ya premierbet

-Jinsi ya kujisajili  premierbet

-Ofa za premierbet

Historia Ya premierbet 

Kampuni ya premierbet  inamilikiwa na Editec africa , ilianza kufanya kazi Tanzania tangu 2015 ikitoa huduma mbalimbali za kubashiri mtandaoni pamoja na casino mbalimbali.

Pamoja na hayo kampuni hii imekuwa ikitoa huduma nzuri kwa wateja, malipo ya haraka pamoja na options  mbalimbali  za kubashiri mtandoni pamoja na katika maduka sehemu mbalimba Tanzania  na nchi nyingine Africa , kama vile, malawi, angola, msumbiji, liberia miongoni mwa nchi nyingine.

Promo code ya premier bet  (premier bet promo code)

Hii ni neno maalumu ambalo hutumika wakati wa kujisajili kwa mara ya kwanza katika kampuni ya premier bet.

Jaza promo code [Ofa] kama promo code yako ya kujisajili premierbet .

  PREMIERBET  PROMO CODE   
Jisajili
premierbet 
Njia za kudepisit
Jaza, Ofa Bofya <HAPA> unaweza kudeposit kwa M-pesa
Pokea bonasi ya 150% Ikiwa unaulizwa msimbo wa matangazo premierbet  jaza neno,  Ofa Tigo pesa, Halopesa, Selcom &Airtel money



Hatua za kujisajili Premierbet 

Zipo hatua mbalinbali ambazo mtumiaji anatakiwa kufuata ili kuandikisha account yake mpya ya premierbet  hatua hizo nikama ifuatavyo,

1. Temmbelea tovuti ya premier bet [premierbet.co.tz]

2.jaza majina yako

3.  Jaza namba ya simu

4.  Tengeneza passwords

5. Jaza tarehe, mwezi na mwaka wa kuzaliwa

6. Jaza promo code ya  Premier bet andika neno , Ofa

7. Jisajili.

Unaweza kudeposit  katika account yako na kupokea bonasi mbalimbali ambazo hutolewa na kampuni ya kubashiri mtandoni ya premier bet.


Ofa za premier Bet

Zipo ofa mbalimbali ambazo hutolewa na kampuni ya kubashuri ya premierbet  ambazo ni pamoja na , bonasi ya kuweka pesa kwa mara ya kwanza katika simu yako ta hadi tsh milion moja. Kiasi hiki hutegemeana na kiasi mteja alichodeposit kwani hupokea 150% ya pesa aliyoweka kwa mara ya kwanza . Ipo mizunguko ya bure ya aviator na kadhalika.



Editor

I'm emanuel Masshele, experienced in igaming content writer, betting and casino review, igaming bussines, and affiliate marketing expert

Post a Comment

Previous Post Next Post